booker T washington
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 104
- 36
Habari wanajamii,
Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kadhaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,
Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?