Wamama watu wazima (miaka 30 na kuendelea) kujiunga na social networks na kuanza kupost picha zisizokuwa na maana yoyote.
Kitu ambacho kinasikitisha zaidi wengi wao wana watoto.Wanaacha kulea...
Ndoa nyingi huvunjika, na wapenzi wengi huachana kabla hata hawajafunga ndoa. Kabla ya ndoa kuvunjika na wapenzi kuachana hutokea visa vingi vya usaliti, ukigeugeu na chuki.
Mapenzi nini? Mahala...
Kwa takwimu tunazopewa na wataalamu juu ya ugonjwa wa UkIMWI zinatisha.
Takwimu zinaonyesha karibu kila familia ktk nchi yetu imewahi poteza mtu kwa gonjwa hili.
Wakati athali zake zikionekana...
Najua fika kuwa Wazazi husika huu UZI watauona au huyo Binti yao atauona na pengine kuwafikishia taarifa.
Tumeamua kuachana na Umalaya ( Uhuni ) na kuamua sasa tutafute Wenza wetu ili tuyajenge...
Kwa miaka mingi watu baadhi wamekuwa wakiamini katika nguvu za giza za kimapenzi maarufu kama limbwata.
Ila lipo limbwata la kweli ambalo ni mpenzi kumuheshimu mpenzi wake na kumuonyesha mapenzi...
Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa sababu ya mambo ya kukurupuka na kufanya haraka bila wahusika kufahamiana vizuri, hebu tuzingatie yafuatayo ili tusiseme 'NINGEJUA NISINGEOA/NISINGEOLEWA'...
Akizungumza kwenye kipindi cha SUPERMIX East Africa radio.Sheikh Mussa Salum"amesema"Sheria ya dini inasema mwanamume kama hana uwezo wa kumnunulia mke mavazi, chakula na malazi asioe...
Niliwahi kuambiwa na mwanamama mmoja kwamba mke akimpenda mtu ile kufika eneo la tukio anakuwa amejiandaa kisaikolojia kwa kiasi fulani hivyo inakuwa rahisi kumalizia mchezo.
Maandalizi yanakuwa...
Nipo mkoani Iringa Mafinga hapa kuna baridi hata Arusha Kilimanjaro cha mtoto nimeshangaa kuona mabinti wengi sana hapa Mafinga seven eleven pale yaani ni wengi balaa, but nilipojaribu kudodosa...
Habari zenu jamani, nina shemeji yenu ambae nipo nae kwenye relation almost 3 years until now.
Lakini tatizo kubwa alilonalo huwa hapendi nimgegede Mara 2 (goli 2), anasema mimi huwa nakawia...
Naombeni mchango wenu,
Wapendwa mimi nina mpenzi wangu, niko nae kwa takribani miaka saba lakini sujawai kufanya nae mapenzi siku nikaja kumuomba mahaba niue akaniambia hawezi nipa mpaka nimuoe...
Wakuu salaam zenu,
Nimebarikiwa sana kutokana michango yenu ya mawazo kuhusu suala hili ambalo karibu wote mlishauri nimuoe mdogo wa mke wangu. Nilipata matatizo ya kumpoteza mwenzangu miaka...
Ni mara ngapi na kwa kiasi gani umekua ukitatizwa na kuanzisha mahusiano na mwanamke, lakini tatizo ni kwamba amekuzidi kwa mambo mengi (mostly kipato.)
Uhusiano na watu kama hao wakati mwingine...
Naamini nyote ni wazima humu ndani na wale wenye matatizo na shida mbalimbali Mwenyezi Mungu awape njia.
Ok swala langu ni moja hapa,week ijayo naenda ukweni,swala hasa kwanza nikutoa fine kwa...
Habarini ndugu wanajukwaa.
Kuna rafiki zangu wapatao watatu ambao tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi na kusaidiana hata kiuchumi na maarifa,
Tumekuwa tukiishi kindugu kabisa.
Wawili wana...
Wanaume wengi sana hasa hapa kwetu TanZania hujifanya kwamba wao ni hodari sana wa ngono, yaani wanajiita lijali na wanaweza kulala na Wanawake muda wowote na kuwaridhisha, na hii siyo hapa Bongo...
Habari ndugu zanguni,
Nimeamua kuwashirikisha hili, nina binti ana 21 yrs saivi yupo form 6, nimempenda sana na nahisi nitamuoa, lakini namzidi sana, namzidi 8 years.
Itakuwa couple nzuri kweli...
Mwanzo nilikuwa mbishi mbishi kukubali kuwa ni ujinga kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae ameshazalishwa na mwanaume mwingine(single mother) labda pengine huyo mwanaume wake awe ametangulia...
Ndugu zangu napenda kuwashirikisha kisa hiki cha jirani yangu ili muwe makini na hawa washauri wa familia zenu.
Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya (Pumu) kwa muda mrefu hali...
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa...