The greater man
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 237
- 190
Naombeni mchango wenu,
Wapendwa mimi nina mpenzi wangu, niko nae kwa takribani miaka saba lakini sujawai kufanya nae mapenzi siku nikaja kumuomba mahaba niue akaniambia hawezi nipa mpaka nimuoe.
Sikukaa kimya nikamuuliza swali hivi kabla ya kuwa na mimi ulishawai kuwa na mpenzi akaniambia ndio nikamuuliza kwanini uliachana nae akaniambia tulishindwana kwakuwa mwezangu sio muelewa na wakigombana utoa lugha ya matusi, nikaendelea kumpa maswali kwanini mwezangu ulifanikiwa kumpa kabla ya ndoa akanijibu nilipenda tu.
Nikamuuliza kwahiyo mimi hunipendi akanijibu kwamba anahisia na mimi, badala ya hapo nikamwambia basi tuachane kwakuwa unipendi akanijibu sawa,baadae akaanza kunibembeleza ooh umekasirika mpenzi nilikutania bana usikasirike.
Hivi kwa tafsiri zenu mafundi wa mambo haya huyu ananipenda au hanipendi?