How to date out of your league

Joe Doe

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
484
918
Ni mara ngapi na kwa kiasi gani umekua ukitatizwa na kuanzisha mahusiano na mwanamke, lakini tatizo ni kwamba amekuzidi kwa mambo mengi (mostly kipato.)
Uhusiano na watu kama hao wakati mwingine hugeuka na kua moja ya mahusiano bora kuwahi kuwa nao.
Ukiacha kujiamini, je wadau can we share some other tips and killer touches to get the kind of them?
 
Back
Top Bottom