manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Nipo mkoani Iringa Mafinga hapa kuna baridi hata Arusha Kilimanjaro cha mtoto nimeshangaa kuona mabinti wengi sana hapa Mafinga seven eleven pale yaani ni wengi balaa, but nilipojaribu kudodosa wenyeji wameniambia hapa kwa VVU panaongoza ila nikawa na wasiwasi kama ni kweli au amenizuia nisifaidi dada zake wa kihehe.
Hivi UKIMWI si upo kila mahali hizi takwimu ni za kweli Njombe na Iringa wanaongoza au ni uongo na hizi takwimu wanazipataje? Maana pia pale Tunduma Namanga, napo nasikia ni noma.
Hivi UKIMWI si upo kila mahali hizi takwimu ni za kweli Njombe na Iringa wanaongoza au ni uongo na hizi takwimu wanazipataje? Maana pia pale Tunduma Namanga, napo nasikia ni noma.