Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,661
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa kabila fulani iwapo wanawake wataonekana kukubali kabila langu kwenye swala la ndoa na mahusiano.
Wewe mwanamke ni wanaume wa kabila gani unawakubali na ungependa mmoja kutoka kabila hilo akuoe? Na ni mwanaume wa kabila gani, hata kama awe vipi na akuahidi nini huwezi kumkubali? Na sababu ni zipi? Toa sababu moja tu kwa kila jibu.
Hebu kuwa mwaminifu katika majibu yako ili tupate ranking ya ukweli kuhusiana na kukubalika na kutokukubalika wanaume kwa wanawake hapa nchini.
NB: mwanamke wa kumi kutaja kuwa anakubali kabila langu, nitakomaa naye mpaka nimuoe, hata kama yukoje.