Kwa takwimu tunazopewa na wataalamu juu ya ugonjwa wa UkIMWI zinatisha.
Takwimu zinaonyesha karibu kila familia ktk nchi yetu imewahi poteza mtu kwa gonjwa hili.
Wakati athali zake zikionekana kila uchao
Ukweli kasi ya kubadilika kwa tabia hatalishi zinachechemia sana.
*Ongezeko la dada poa rasmi na wasio rasmi.
* ongezeko la usaliti wa kimapenzi.
* ongezeko la utoaji mimba hali inayoonyesha hufanyaji wa mapenzi pasipo kinga.
* ushabiki wa ngono unaonekana kwenye mitandao ya kijamii ni kielelezo kingine.
Je utamu wa tendo hili unazidi uchungu wa ugonjwa huu????