Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Naamini nyote ni wazima humu ndani na wale wenye matatizo na shida mbalimbali Mwenyezi Mungu awape njia.
Ok swala langu ni moja hapa,week ijayo naenda ukweni,swala hasa kwanza nikutoa fine kwa ajili ya binti yao ambaye imetokea kumpa ujauzito so nilishafika kwao tukaambiwa tupeleke fine na pia nijipange kwenda na wazee.
Sasa wale wenye uzoefu nilikuwa naomba msaada kwamba mbali na kwenda na wazee ni vyema kwenda mikono mitupu ukiachilia mbali hiyo fine, mfano kwemda na kitu kama,sukari, kreti la soda au kitu chochote. Ni muhimu?
Naamini nitapata majibu mazuri sana hapa ndugu zangu. Asanteni sana.