kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 903
Wamama watu wazima (miaka 30 na kuendelea) kujiunga na social networks na kuanza kupost picha zisizokuwa na maana yoyote.
Kitu ambacho kinasikitisha zaidi wengi wao wana watoto.Wanaacha kulea watoto, wao ni kupiga picha tu siku nzima na kupost kwenye accounts zao.
Hivi kuna umuhimu gani wamama kama hawa kujiunga kwenye hii mitandao? Kwanini hamtaki kukubaliana na hali halisi kuwa wakati wenu umepita, muachie haya mambo watoto zenu na wadogo zenu?
Kaeni nyumbani mlee watoto zenu sio mnashinda kwenye mitandao. Umri umeenda, jifunzeni kuishi kuendana na umri wenu kama wamama watu wazima.