Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,208
- 4,405
Kwa miaka mingi watu baadhi wamekuwa wakiamini katika nguvu za giza za kimapenzi maarufu kama limbwata.
Ila lipo limbwata la kweli ambalo ni mpenzi kumuheshimu mpenzi wake na kumuonyesha mapenzi yote ya kweli pasi na kuwa msaliti au kuchepuka pembeni kama makatapila ya kujenga barabara.
Muombe Mungu wako kwa imani yako akupe mpenzi wa kweli atakae kupenda na kukujali lakini katu uchawi hauna nafasi katika mapenzi.
USIDANGANYIKE!