Niliwahi kuambiwa na mwanamama mmoja kwamba mke akimpenda mtu ile kufika eneo la tukio anakuwa amejiandaa kisaikolojia kwa kiasi fulani hivyo inakuwa rahisi kumalizia mchezo.
Maandalizi yanakuwa kidogo tu chakula kinakuwa tayari kuliwa?
Je kuna ukweli katika kauli hii?
Kwa wanaume maandalizi huwa sio lazima maana wao wakiona wanakuwa tayari kucheza mchezo.
ZINGATIENI: Tuchangieni kwa kutumia tafsida maana si unajua kuna watoto humu siku hizi.