Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Wanaume wengi sana hasa hapa kwetu TanZania hujifanya kwamba wao ni hodari sana wa ngono, yaani wanajiita lijali na wanaweza kulala na Wanawake muda wowote na kuwaridhisha, na hii siyo hapa Bongo tu bali ni karibia kila mahali ni hivyo sasa lilifanywa jaribio la kuona ukweli wa hili jambo!
Yaani Mwanamke anakufwata na kukwambia muende sasa hivi mkajamiiane, Wanaume wengi sana walinywea na kushindwa kwenda au wengine walijaribu lkn walivyofika chumbani walishindwa kusimamisha uume na kushinda kujamiiana, ikahitimishwa kwamba Mwanaume anapokutana na Mwanamke anayejiamini basi hunywea kabisa na maneno yote huisha!