God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Watanzania wengi hawafahamu kuwa mawazo yao ndio yanao waendesha.
namna unavyoiseti akili yako ndivyo hisia zako huwa.
mfano wewe ukijiona dhaifu, mtu wa kukata tamaa basi ndivyo utakavyokua.
yani kila utakachowaza kitakuja kukutokea tuu. hata kama unawaz kuwa bilionea najua hutafika ila utapata senti kadhaa.
kwa hiyo jiwekeni imara..
kwenye ngwe hii ya mapenz watu hawafaudu mapenz kutokana na mawazo yao kichwani na kuishia kuwalaumu wapenzi wao eti hawawaridhishi.
jiandae kwanza kiakili namna ya kuufaudu utamu basi na jambo lako litatimia ila kama ushaweka akilini matako makubwa au wanawake waneneo ndo watamu halaf ukakutana na kimbao sidhani kama uta enjoy.
hata wale wapenzi wa mtandao wa tigo au wanaopenda kusaga nyama nao kula mahali waliona/sikia ndo mawazo yao yakaishia humo.
so wana MMU kabla hujafanya kitu sikiliza moyo wako unadai nini na sio kulazimisha usije kujilaumu baadae kwani vilio vyetu kwa 100% husababishwa na sisi wenyewe.