Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Habarini wana MMU,
Kumekua na wimbi la kutupiana lawama kati ya wanaume na wanawake kwa kila mmoja kumlalamikia mwenzie kwenye mahusiano ya kimapenzi mpaka ndoa pia mfano wanaume wanalaumu wanawake wa siku hizi sio kabisa, wauaji mashetani hawafai kabisa.
Pia wanawake hivyo hivyo wanaume wa siku hizi sio kabisa. Wauaji mashetani hawafai kabisa.Nini hasa kinasababisha kurushiana lawama hivi kiasi kwamba imejengeka mentality ya fallacy of generalizatio kwa wanaume na wanawake wote.Je ni usaliti kuwa mwingi, uongo, vibuti kwa sana. Maendeleo.