Mrejesho: Nitamuachaje mama huyu anayenizidi miaka tisa?

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,776
1,536
Mnamo mwaka jana May 24,2015 nilipandisha uzi uliokuwa unasomeka hivi!.

Wakuu salama.

Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana. Baada ya kumaliza form six sote tulifaulu, tukawa tumechaguliwa chuo, lakini tulienda vyuo tofauti. Baada ya kufika chuo tulipomaliza semister ya kwanza, huyo msichana alianza kuniletea mizinguo nikamvumilia sana mwisho wa siku tukaachana.

Sasa baada ya kuachana nae nilipokuwa naenda likizo nyumbani huko mkoani, niliona nikatafute mwanamke anae nizidi umli labda yeye atatulia. Sasa nilipofika nyumbani mta kama wa tatu kutoka nyumbani, alikuwepo mwanamke fulani hivi mwenye watoto wawili. Ambae mume wake alifariki kwa ajali ya gari.

Nikawa nimemtokea akawa amekubali lakini kiumri alikuwa mkubwa kwangu, alkuwa ananizidi miaka tisa.Sasa baada ya kuanza mahusiano nae baada ya kama miezi mitano na kwa vile alionyesha kuniheshimu sana na kunijali sana. Nilimshauli tuanza nae biashara akawa amekubali. Nilianza na mtaji wa laki nne ambayo nilikuwa nmeibana kutoka kwenye BUM.

Nikaanza kwa kununua madira na vitenge nikawa navisafirisha kwenda mkoani, akawa anauza kwa mkopo kwa wanawake wenzake. Kila mwisho wa mwezi akawa ananitumia hela nanunua mzigo nausafirisha anaupokea dhen anauza.

Tumefanya biashara hiyo ndani ya miaka miwili, nampaka ninavyoongea hivi sasa kanizalishia faida ya milioni kumi na moja nimeihifadhi benki na bado tunaendelea kufanya nae kazi na kugegedana pia.

Lakini sasa mwaka huu namaliza course yangu ya Mechanical Engineering na tatizo anadai nikimaliza nimuoe. Kusema kweli simpendi hata kidogo lakini nipo nae kwa ajili ya kumgegeda na kufanya nae biashara hiyo.

Sasa waungwana mpaka sasa sijui nimuachaje maana nmeshafanya majaribio ya kumuacha mwaka huu takribani mara mbili lakini wapi! maana kaniganda sana.Sasa kiukweli mie siwezi kumuoa na wala simpendi na tatizo kubwa ni umri wetu mimi na yeye. Kwahiyo wakuu nifanyeje huyu mwanamke niweze kuachana nae?

Naombeni ushauri

Asanteni sana.

..........................
...........................
Mrejesho leo 06/01/2016

Niliamua kuachana nae,sikuwa tayari kuoa mtu ambae tayali ana watoto.

Pesa tuligawana nusu kwa nusu,na kwa bahati nzuri anatarajiwa kuolewa mwaka huu.Ingawa bado nawasiliana nae na anafahamu kama mi namsichana mwingine lakini bado anataka niwe namgegeda.

Anadai hata akiolewa awe hata mchepuko wangu.

Nimesema noo.

Asanteni wale wote mlio toa ushauli katika uzi huu.Mungu awabariki sana.
 
Bro jifunze muda Mwingine kutokufanya maamuzi kwa hisia. Kwani wakat unaanza mahusiano naye ulikuwa hujui kama ana umri mkubwa? Au ulikuwa hujui kama ana mtoto? Kukurupuka na kutokuwa na msimamo kumewaponza wengi. Acha kuwa mwanaume kinyonga.
 
khaaaaaaaaa una roho mbayaaaaa sasa unamtuia kisha hutaki kumwoa ,basi mpe feva ya kuwa mchepuko wake maana najua utashindwa kumuacha kakuletea faida kubwa ati
 
Najisikia kutapika, mkuu umeniudhi sana, hujui tu. Pamoja na ushauri tuliokupa kipindi kile, bado ukaona umuache tu?
 
Subiri ukipate cha moto kwa huyu mke unayemwona ni wa umri unaolingana na wewe. Dhambi zingine malipo yake yapo hapahapa duniani.
 
Ishina mapenzi hayachagui umri mbona zari na diamond wanaishi hutakua wa kwanza
 
Mnamo mwaka jana May 24,2015 nilipandisha uzi uliokuwa unasomeka hivi!.

Wakuu salama.

Kipindi nipo form five,nilipata demu mmoja hivi tulie kuwa tunalingana nae hakika tulipendana sana. Baada ya kumaliza form six sote tulifaulu, tukawa tumechaguliwa chuo, lakini tulienda vyuo tofauti. Baada ya kufika chuo tulipomaliza semister ya kwanza, huyo msichana alianza kuniletea mizinguo nikamvumilia sana mwisho wa siku tukaachana.

Sasa baada ya kuachana nae nilipokuwa naenda likizo nyumbani huko mkoani, niliona nikatafute mwanamke anae nizidi umli labda yeye atatulia. Sasa nilipofika nyumbani mta kama wa tatu kutoka nyumbani, alikuwepo mwanamke fulani hivi mwenye watoto wawili. Ambae mume wake alifariki kwa ajali ya gari.

Nikawa nimemtokea akawa amekubali lakini kiumri alikuwa mkubwa kwangu, alkuwa ananizidi miaka tisa.Sasa baada ya kuanza mahusiano nae baada ya kama miezi mitano na kwa vile alionyesha kuniheshimu sana na kunijali sana. Nilimshauli tuanza nae biashara akawa amekubali. Nilianza na mtaji wa laki nne ambayo nilikuwa nmeibana kutoka kwenye BUM.

Nikaanza kwa kununua madira na vitenge nikawa navisafirisha kwenda mkoani, akawa anauza kwa mkopo kwa wanawake wenzake. Kila mwisho wa mwezi akawa ananitumia hela nanunua mzigo nausafirisha anaupokea dhen anauza.

Tumefanya biashara hiyo ndani ya miaka miwili, nampaka ninavyoongea hivi sasa kanizalishia faida ya milioni kumi na moja nimeihifadhi benki na bado tunaendelea kufanya nae kazi na kugegedana pia.

Lakini sasa mwaka huu namaliza course yangu ya Mechanical Engineering na tatizo anadai nikimaliza nimuoe. Kusema kweli simpendi hata kidogo lakini nipo nae kwa ajili ya kumgegeda na kufanya nae biashara hiyo.

Sasa waungwana mpaka sasa sijui nimuachaje maana nmeshafanya majaribio ya kumuacha mwaka huu takribani mara mbili lakini wapi! maana kaniganda sana.Sasa kiukweli mie siwezi kumuoa na wala simpendi na tatizo kubwa ni umri wetu mimi na yeye. Kwahiyo wakuu nifanyeje huyu mwanamke niweze kuachana nae?

Naombeni ushauri

Asanteni sana.

..........................
...........................
Mrejesho leo 06/01/2016

Niliamua kuachana nae,sikuwa tayari kuoa mtu ambae tayali ana watoto.

Pesa tuligawana nusu kwa nusu,na kwa bahati nzuri anatarajiwa kuolewa mwaka huu.Ingawa bado nawasiliana nae na anafahamu kama mi namsichana mwingine lakini bado anataka niwe namgegeda.

Anadai hata akiolewa awe hata mchepuko wangu.

Nimesema noo.

Asanteni wale wote mlio toa ushauli katika uzi huu.Mungu awabariki sana.
kwani zari kamzidi baba tiffah miaka mingapi bhanah,
age aint nothing but a number
 
khaaa kwani ulimtongozaje? na kama ulitongozewa mtafute aliyekutongozea akuachishe
 
Hiyo ni laana umeshajitafutia tayari hakuna cha kurogwa wala nn.pia laana hiyo inaweza kukupata hata baada ya miaka mitano ukiwa umejisahau kabisa....!!!!!
 
We jamaa una roho ya kutu sana mambo mengine sio mpaka mapenzi au upende jaribu kufikiri hata nje ya box mjomba ili maisha yaende huyo ndio mwenyewe anae kufaa wewe.Unajua mwanamke akikupenda kwa kiwanngo hicho usimwache shauri yako unakwepa maji ya moto ipo siku utamwagiwa moto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom