socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 431
Habari wana JF,
Kiufupi ni kwamba nilikuwa na mpenzi Glady tuliyefanya mengi kipindi tunaanza hayo mahusiano ila baada ya miezi miwili nikakutana na dada mwingine Anna ambaye nilimuheshimu na kumjali as long nawakubali sana wadada na hii ni kutokana na kulelewa na dada zangu so nilimjali sana kama dada yangu kulingana na stori yake ya maisha.
Baada ya kama mwezi akanieleza kuwa ananipenda sana na ameamua kunieleza but nilimuambia kuwa nina mchumba so akawa mpole ila kila baada ya wiki 2 au tatu lazima arudie usemi wake kuwa ananipenda sana.
Wiki juzi alikuja kikazi maeneo ya kwangu kwa wiki moja basi nikawa jioni namchukua then namrudisha asubuhi ili aendelee na kazi na wenzie, sasa ikatokea Boss kawaita kikao usiku wakakuta Anna hayupo wenzie wakasema ni kawaida yake basi Boss akasema akija achukue chake arudi nyumbani.
Asubuhi kufika akapewa chake na kurudi kwao mda huo ilikuwa ngumu maana magari hamna so tukaenda home ndio kukaa nae wiki nzima then akarudi kwao sasa mpaka leo wiki ya tatu toka hot period hajaona siku zake na kupima hataki anasema nimuache tusubiri mimba ijionyeshe yenyewe.
Nimekuwa njia panda maana Anna kweli ni mzuri sana ila naogopa kuchapiwa na ndoa kuja kuharibika au nikamdhuru mtu kisa mapenzi au nimsubiri Glady anbaye now yuko chuo na mimi nimemtoa usichana wake na ananiamini sana japo nimemsaliti.Kibaya ni kila mmoja ameshawaambia ndugu zake kuwa amepata mchumba.Hii ni seriuos sio hadithi, niko macho toka saa saba nawaza nimuache yupi.
Comment Please