Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
1. Mkwara stage
Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu hapa bado wapya ni full kujishaua, kila mahali mko wote, unawahi kurudi home, kabla hujapika unauliza hubby ungependa kula nini leo. Profile picture na Selfie za kumwaga, mnafanya Anniversary za ndoa mwezi kwa mwezi kama kifurushi cha cheka bombastiki.
2. I am happily married stage
Miaka 2-3 ya ndoa, pete za ndoa zinang'aa, full kupiga picha huku unashow kidole kila mtu ajue your taken. Ni mwiko kusahau Birthday ya Mkeo/Mmeo, ukitongozwa unaripoti hapohapo kwa mme/mke. Full huba, mnabadilishana hadi password za simu na facebook, mnajenga trust kwamba hakuna siri kati yenu.
3.I am married stage
Hapa lile neno happily limeanza kufifia, ndoa ina miaka 5. Gusa simu yake uone moto kudadeki, mdada ushajifungua watoto wawili, umejiachia, Saluni huendi unasuka tu tatu kichwa freesh. Jamaa anaanza kuhisi umezeeka/umedorora/huna mvuto. Umejiachia Mtumbo wa chips na uzazi huooo ukidhani mmeo ameshakuzoea so huna muda wa kumu-impress anymore. Eti Kuku wako manati ya nini wakati nje kuna masistaduu wanawaka kama Tanzanite na wanamtaka mmeo na pete yake hivyohivyo.
4.Bora liende stage
Ndoa ishafika miaka 7-10 hivi, hapa mme anarudi muda anaotaka na hataki aulizwe kitu, yuko bize anasahau birthday yako na ukimwambia anawaka kwamba unafuatilia vitu vidogo. Mnalala pamoja hata mwezi hakugusi wala nini. Sexual attraction kushnehi, hapa ndo unakumbuka namba ya EX wako kichwani na kuanza kurecall alivyokuwa anakukamua vizuri kuliko mmeo anayechechemea dakika 6 halafu anakoroma.
Mnaanza kuwa close na EX na kuchepuka mara 1 moja na hujisikii vibaya coz Home hamna spark anymore na unahisi mme anasababisha ukamuliwe nje. Talaka huombi coz unajiuliza wazazi watanionaje, mashosti niliowaringishia harusi watasemaje unatulia kimya.
Walio nje wanawaona nyie ni mke na mme, lakini nyie wawili mnajua ukweli kwamba mmekuwa kaka na dada wasio tumbo moja!