The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti - Dr. Mwaka

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,226
26,684
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule.

Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.

najua kuna mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo - By Dr JJ MWAKA
 
99% cheat ina maana kuna 99% ya wanawake ambao hawajaolewa ambao wanacheat na hao 99%married men. Kweli Mwaka kakamata akili za wasichana wengi.

Hahahaaaa Kaunga dada.....katika hiyo 99% ya wanawake wanaochiti na hao wanaume wamo ma girlfriend wa watu, wake wa watu, na kadhalika.

Hapo ndo ujue huyo ganga feki alivyo kilaza kama Jesca......
 
lakini si tunacheat na hao hao wanawake au wote tunaenda kwa mwanamke mmoja, kwahiyo na wewe dada ukaona ni kweli kabisa, basi sawa!
 
japo mwaka hayupo sahihi..

ila hesabu simple tu...kama kweli 99 % ya wanaume wana cheat.. haimaanishi 99% ya wanawake wasioolewa wana cheat nao..

mwanaume mmoja anaweza akamcheat mkewe na wanawake hata watano ambao hawajaolewa.. so parcent haziko sawa..

na mwanamke mmoja pia ambae hajaolewa anaweza akawa na wanaume hata watano ambao wameoa.. wakawa wana share bila kujijua..

kwenye mathematics

huwez uka late x = y bila information

99% cheat ina maana kuna 99% ya wanawake ambao hawajaolewa ambao wanacheat na hao 99%married men. Kweli Mwaka kakamata akili za wasichana wengi.
 
japo mwaka hayupo sahihi..

ila hesabu simple tu...kama kweli 99 % ya wanaume wana cheat.. haimaanishi 99% ya wanawake wasioolewa wana cheat nao..

mwanaume mmoja anaweza akamcheat mkewe na wanawake hata watano ambao hawajaolewa.. so parcent haziko sawa..

na mwanamke mmoja pia ambae hajaolewa anaweza akawa na wanaume hata watano ambao wameoa.. wakawa wana share bila kujijua..

kwenye mathematics

huwez uka late x = y bila information

Lakini, huyo mwanamke ambaye hajaolewa haimaanishi kwamba naye hayupo kwenye uhusiano na mtu, siyo?

Katika hao watano uliowatolea mfano anaweza kabisa kuwaaminisha wote kuwa kila mmoja wao ndo mwanaume pekee aliyenaye.

Je, huko siyo kuchiti?
 
japo mwaka hayupo sahihi..

ila hesabu simple tu...kama kweli 99 % ya wanaume wana cheat.. haimaanishi 99% ya wanawake wasioolewa wana cheat nao..

mwanaume mmoja anaweza akamcheat mkewe na wanawake hata watano ambao hawajaolewa.. so parcent haziko sawa..

na mwanamke mmoja pia ambae hajaolewa anaweza akawa na wanaume hata watano ambao wameoa.. wakawa wana share bila kujijua..

kwenye mathematics

huwez uka late x = y bila information
Sasa hiyo 1%ya wanawake wanaocheat kaitoa wapi? Au ndio hiyo inaaccomodate 99% ya wanaume wazinzi?
 
Back
Top Bottom