ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Katika dada 10 utakaokutana nao iwe kwenye matembezi, sehemu za starehe au nyumba za ibada au hata kwenye mabasi ya mwendo kasi, kati ya hao 10 basi 8 kati yao wamejazia haswa huko nyuma yaani wana makalio makubwa.
Zamani ilikuwa ni nadra sana kuwakuta wako hivyo mabinti wengi tuliwatambua uzuri wao kwa sura na tabia zao.
Lakini siku hizi uzuri unatambuliwa kwa ukubwa wa wezere na sio sura tena hali inayosababisha kila mdada unayepishana nae kuwa vizuri sana maeneo husika. Yaani hata uswahilini kwetu huku Manzese, Mbagala, Tandale na kwingineko wadada kama hawaendi chooni. Wadada ni nini siri ya mafanikio haswa? Maana hata huko mitandaoni picha zinapigwa kwa kutuonesha makalio, nini siri haswa?