Hapa ninapoishi kuna mke wa mpangaji mwenzangu nashindwa kabisa kumwelewa.
Mume wake ni mtu wa kurudi usiku sana kama saa nane na Mimi hua narudi kama saa sita sasa cha ajabu kila nikirudi...
Habari zenu Wanajamii,
Nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5,nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE).
Wakati nikiwa...
Habarini wapendwa,
Mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia.
Leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenye acc ya Fb...
Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta.
Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda sana. Nyoka alikuwa na urefu wa mita...
Najishangaa na nahitaji msaada wenu, ule utu wa kujali umenitoka huwa nakaa hata miezi mi3 sijajua nyumbani wazazi wanaendeleaje, marafiki hua siwapigii hata simu labda niwe na shida nao tu...
Hii yote inatokana na ye kuwa king'ang'anizi kwangu,nimemuumiza vya kutosha ila ye hataki kunielewa,mwishowe nimeamua kumchukulia kama chombo cha starehe.
Sijui ka nakosea wakuu?
Habari za weekend wana jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Wakuu hii story niliipata nikiwa wodini baada ya kupata ajali mbaya sanaa nusra nusra almanusra nife, back in 2013. Nilikaa saa wodini...
Heshima kwenu wadau.
Nimeombwa ushauri nimeshindwa vya kumjibu. Nina ndugu yangu amekuja kuniomba ushauri ana mke wa ndoa kwa miaka mingi tu ila hali ya uchumi kwao imeyumba ana na wanakabiliwa...
Msimamo wangu wa kuto kuja kuoa na kuwa na mtoto bado upo palepale! Ila haimaniishi kuwa watoto wakike wazuri,wasafi kimwili,na wenye shape nzuri za kila aina sitaweza kuwaona!
Hakika sasa watoto...
============================
WANAWAKE wanene na wasomi wanakabiliwa na tatizo la kushika mimba kwa sababu ya kuandamwa na maradhi ya uvimbe kwenye kizazi.
Hayo yameelezwa na Daktari Bingwa wa...
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana, yaani naweza tetemeka nikikutana nao.
Wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nikazeeka...
Habari zenu wana JF, let me go straight to the point.
Huyu baba ni mtu mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndani ya...
Juzi alhamisi nilikuwa na wife super market tukifanya manunuzi ya hapa na pale.....sasa ktk zunguka zunguka mle ndani tukakutana na mwanamke mmoja mi nafahamiana nae lakini hawafahamiani na...
Kuna taarifa kwenye gazeti moja la udaku kwamba eti kuna pasta 'anaomba usiku na mchana' Wema apate mimba.
Nimeshtushwa kama kweli huyu pasta anajua maadili ya kanisa. Wawezaje muombea mtu...
Wasalaam wakuu
habari za masiku tele?
Bila shaka muwazima wa afya kama kawaida.
wakuu na wanajf wote kwa ujumla nina swali la kuwauliza. swali hili nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu nikawa...
Habari zenu mabibi na mabwana, ni imani yangu kuwa mu wazima kiroho na kimwili
Nimetembelewa na rafiki yangu yapata wiki moja na zaidi, akitokea Mereran Arusha, urafiki wetu umekuwa ni undugu...
Niliweka huu uzi hapa Hii mimba kweli yangu?
Aisee yule mtoto mchungaji kamtimua kama mbwa kanisani kuwa analitia aibu kanisa, hiyo imetokea baada ya kupata no ya mchungaji na kumpigia nikimchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.