kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
tukiangalia kwa sasa kuna ongezeko kubwa la mashoga watu tumekuwa tukiangalia sababu nyingine zinazosababisha hii kitu lakini kuna kubwa ambalo linasababisha ushoga kuenea kila kukicha tena kwa vijana wadogo chini ya umri wa miaka 18 na zaidi.
kusema kweli hawa dada zetu wanaozaa miaka hii na kulea wenyewe nao wanachangia kiasi kukubwa kuharibika kwa hawa watoto. sikatai kama mzazi(mama)inabidi umpende mwanao lakini kwa hawa dada zetu wamepitiliza. unakuta dada anamlea mtoto wa kiume kwa kumdekeza sana. mtoto hachapwi, hakanywi, kila kitu anachofanya mtoto ni sawa.
wengine wanaishi na hawa watoto wao wa kiume kwenye chumba kimoja, wanalala kitanda kimoja, mtoto anakuwa anaona kila kitu anachofanya mama. anaona mama anavyojipodoa, anavyovaaa, mashauzi anayofanya mama tena mbele ya mtoto wake.mtoto akilala akiamka anakutana na mapoda, makororo mengine ya kike, anaona jinsi mama anavyotumia hayo mavitu. matokeo yake mtoto anaamua kuiga mambo anayofanya mama ake. mnaweza mkaona ni kitu kirahisi lakini hii kitu ina mchango mkubwa sana katika kuharibu saikolojia ya mtoto juu ya uanaume wake.
kuna hizi familia ambazo unakuta familia ina watoto watatu wa kike na wa kiume mmoja. we kama mzazi inabidi utengeneze distance kidogo kati ya mtoto wa kiume na dada zake. asipende kukaa sana na dada zake mda wote. kama inawezekana mtenge chumba kabisa angali mdogo, angalau unaweza kumuokoa na hili janga.
kina dada single mothers leeni watoto wenu kwenye maadili yanayofaa msiige uzungu matokeo yake mnaharibu watoto wenu wanakua watoto mchelemchele chakula cha watu.