Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Alikuwa ni mpenzi ambaye tulidumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Niligundua kanificha mambo mengi muda wote niliokuwa naye. Aliwahi zaa mtoto akafariki, ila mimi alinidanganya kuwa ana mtoto na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Imefika mahali imenibidi niingie humu huenda nitapata mawazo mbadala ya kunisaidia kuondokana na hilinipo katika ndoa yapata miaka saba sasa. Lakini hivi karibuni nimeanza kumuwaza sana mpenzi...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Mke wangu kipenzi, Watu wote wameenda nyumbani kwao , mziki umezimwa, shamrashamra zimeisha. Harusi yetu ilikua nzuri mno ila sasa imepita. Tumemaliza harusi sasa ni muda wa kujenga familia yetu...
10 Reactions
17 Replies
4K Views
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI: Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo...
14 Reactions
253 Replies
22K Views
Ambae hamjaoa kueni makini sana, ndoa za sasa ni kama till za wakala mda na saa wameswap
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kudos to all housewives. hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi? nimepima weeee pamegoma kabisa. kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress...
9 Reactions
425 Replies
28K Views
Wadau habari za ujenzi wa Taifa, Jumatatu nilikwenda kazini kwa mke wangu kuchukua ufunguo wa nyumbani kuna kitu nilisahau nyumbani hivyo niliitaji kukirudia, yeye ndo huwa anawahi kurudi...
11 Reactions
263 Replies
51K Views
Sina mifano mingi ila nimeona kwenye dada za rafiki zangu na majirani. Dada zao wamefanikiwa kwa kupata kazi nzuri sana, cha ajabu wadogo zao wanaishi kama mashetani. Nyumba zao ziko vilevile...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo...
8 Reactions
108 Replies
12K Views
Imetokea si mara moja mbili au hata kumi, imekuwa ni kama uchawi sasa mwanamke yeyote nitakayetembea naye kama ni mpangaji mwenzangu hamalizi miezi mitatu lazima ahame nyumba kwasababu yeyote ile...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye? Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel...
6 Reactions
209 Replies
16K Views
Hizi siku tatu hasa kuanzia siku ya Ijumaa nilikuwa mapumzikoni kidogo, baada ya kuchoshwa na kazi ngumu ya kujenga hili Taifa la Tanzania. Sasa nimekuwa nafanya mambo ya kupumzisha akili ikiwemo...
16 Reactions
45 Replies
6K Views
Haya kama kawaida, wale tusiokuwa na viburudisho tushinde hapa. Kama wewe ni mwanaume una swali lolote kuhusu sisi wanawake uliza mashost zangu wamewasili tena kutoa majibu. Ila angalizo...
6 Reactions
108 Replies
17K Views
"Nataka Ramadhan ijayo wewe ndo uwe wa kunipikia futari. tena zuuuri, unaonekana unajua sana" nikatamani nimuulize jina lake la JF nimtag thread yangu ya I''m too lazy to be a housewife. hivi...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Mhhhm kama bado mna still struggling to find a husband at an old age...because you're looking for a perfect man, Mhhm I think something is certainly wrong with you...Hivi bado hamjasikia ule msemo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi sina ma EX katika maisha yangu lakini kuna mwanamke niliwahi kumpenda na sijawahi kumuambia nampenda, sasa nime move katika another section na na yeye ndo kawa kama team leader wetu, sa mara...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninaishi Shinyanga mjini. Naangalia na kutafuta fursa ya kumpata rafiki wa kike katika viunga vya mjini hapa. Urafiki huu utalenga kufikia ushirikiano wa kirafiki kulingana na mahitaji ya pande...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Asalam Alaykum, All praise is to Allah, the most beneficent, the most compassionate, the Sustainer and Cherisher of the Worlds, the Supreme.May His blessings be on Prophet Muhammad (SAW), his...
7 Reactions
62 Replies
22K Views
Habari wanajamvi,baada ya kutemana na kale kabinti kanakonuka mdomo,na kutemana na mama watoto wangu kwa sababu watu walimfumua sehemu zisizohusika(0713..).nikaona nitafute mtoto mwingine,nikapata...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa na kukulea handsome wewe unayeng'aa na kuzungusha round ya laki na ishirini huku mkononi unazungusha kiufunguo chako cha alteza uliyokopa baada ya...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…