housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,192
Kudos to all housewives.
hivi mlipimaje pimaje hadi mkafikia huo uamuzi?
nimepima weeee pamegoma kabisa.
kazi za nyumbani zinachosha sana. utachujika fasta! kila siku atakukuta na night dress aliyokuacha nayo asubuhi.
na siamini kuwa kazi za nyumbani ni kazi ya mwanamke, SAMAHANI SAANA.
sipendiiii hizi pilika.
Nitakubali kukaa nyumbani kulea.. sio kufanya kazi. na sio permanently.
mwanamke kazi kwa mume dyu dyu tuu!