Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
Sina mifano mingi ila nimeona kwenye dada za rafiki zangu na majirani. Dada zao wamefanikiwa kwa kupata kazi nzuri sana, cha ajabu wadogo zao wanaishi kama mashetani.
Nyumba zao ziko vilevile toka kipindi hawajapata kazi nzuri, hakuna improvement yoyote. Wazazi wao unakuta labda ni mama kupata vitenge vipya lakini wanahustle juani kama zamani. Kwanini mko hivi?
Hali ni tofauti kwa mwanaume. Mtoto wa kiume akipata kazi utaona neema nyumbani. Hata mwaka kuisha utaona nyumba, madogo na wazazi wananawiri huku msoto ukipungua. Unakuta madogo wanapewa mitaji au kuitwa mjini.
Na wewe umeona hii ishu? Kwanini iko hivi?