Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo ruhusu ngono kufanyika (congenital abnormality).
Sasa katika zama hizi tendo la ndoa liko nje nje unaoa/kuolewa ili iweje? Huwezi ukakomaa na mwenza wako wakati maumbile yenu yanazidi kupoteza mvuto kutokana na kuzoeana, umri kusonga na kuzaa. Halafu atokee kigori ama serengeti boys amekuzimia na kuonyesha utashi ama mwenyewe ukafanya kama kumtega akaingia laini halafu uchomoe kisa una ndoa. Haiwezekani...!! Narudia HAIWEZEKANI...!!
Tusiwaone wazungu ni wazembe kuruhusu ndoa za mikataba. Walishayaona haya. Nasi tutafika tu, maana ni kawaida yetu kubisha kwanza kabla ya kukubali vinavyopendekezwa na wazungu.
1. Tulibishia dini zao
2. Tulibishia elimu yao
3. Tulibishia mifumo ya vyama vingi
Sasa hivi tunabishia
1. Ndoa za mikataba
2. Ushoga
3. Utoaji mimba
Tutakubali tu......!!
Kila siku vilio vya usaliti kila kona. Ndoa hazina maana tena maana tendo la ndoa a.k.a mgegedo uko nje nje. Kwann ugandane na mmoja?? Halafu mbaya zaidi ukute unaye gandana naye anakosa sifa mojawapo ya mchepuko;-
1. Usafi
2. Utundu kwenye 6*6
3. Shepu na sura
4. Umri mdogo kuliko mwenza wako
5. Nyama ya ulimi (maneno matamu)
..n.k
Utakimbia tu kwenda kwa mchepuko na kumtupa kule mwenza wako.
Unagandana na mtu maisha yote mpk appetite inakatika!!!? Ya nn kujitesa?? Ikilazimu tuoane kwa mikataba bhana... Ili kila mtu akikutana na kipya kinyemi anasepa na kula ile kitu roho inataka. Kimsingi ndoa hazina tens ulazima zama hizi.
NAWASILISHA.