IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!
Times are changing and changes are inevitable inevitable. When the benefit of change exceeds the cost of change, then changes ceases to be optional and...
Habarini zenu nyie watu,
Katika hangaika zangu za wanawake,na katika tabia zangu za chapa ilale na tabia ya kizee ya kutochagua kofia,tabia yangu ya kuishi kama jogoo la kienyeji ya kupanda jike...
Haya ni maajabu ya karne kabisa,na hii sijui niite ni ushamba au ndio mambo ya .com.juzi jmapil nmekutana na kademu kwenye gari pale sayansi,,nilimtamani nikaongea nae,usku akaingia laini.jana...
Hao wanaoitwa Wasichana wabaya wanaolewa kila jumamosi, nyie Wasichana wazuri mko bize kununua mablackbery, ma iPhone 5,ma Ipads , mawigi ya brazili na honestly huwa mnapendeza sana kwenye picha...
Kila nikigombana naye lazima usiku nipate shida aidha nakimbizwa au watu wamenikamata wanataka wanifanyie kitu mbaya.
Kingine ambacho kina utata mfano nikitaka kumgegeda dhakari yangu nikitaka...
Sikuwahi kufikiria kama ingefika kipindi niitwe Zoba!!
Zoba ni mwanaume wa aina gani!!
1.Hatongozi.
2. Haongi.
3. Kila mwanamke anamwona kama Dada yake....
Ndiyo situation ninayokutana nayo...
Nahitaji urafiki na binti au mwanamke wa kizungu ila huwa nashindwa kuwapata kutokana na mazingira nilonayo na sina connection yoyote. Hivyo naomba mwenye uwezo anisaidie, sio kwa nia mbaya au...
Habari wanajamvi hasa wanaume wenzangu,
Mimi nashindwa kuelewa hizi tabia za dada zetu siku hizi, unakuta wanapanga foleni kuoshwa miguu na kukata kucha. Hivi mwanamke kama huyu anaweza hata...
Habarini wana jukwaa, Natumai mko poa.
Bila kupoteza muda niende kwenye ujumbe tajwa hapo juu.
Kuna Dada ambaye ni rafiki yangu wa karibu kwa kipindi kirefu sasa tumekua kama ndugu.
Tumekua...
Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa.
Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano...
Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa.
Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukisex...
Kijana wa kizungu alikuja kuwakilisha mada UDSM kama moja ya hitimisho la PhD programme. Wakati yuko pale alikutana na binti wa kibongo, mwanzo ulikuwa urafiki, kwani mzungu alipata shida...
Habarini,
Kama tunavyojua sisi wanaume sometimes unaweza ukabashiri with 100% accuracy kuwa mwanamke anakutaka kimapenzi kutokana na ishara anazokuonesha, na ikawa ndo hivyo.
Back to the point...
Za ukosefu wa sukari wakuu,
Binafsi napenda jina langu na najivunia kuwa nalo,vipi wengine kuna raha yoyote ya kujivunia jina?
Kama ipo kwanini watoto wanaendelea kupewa majina ya hovyo hovyo...
Habari za hapa wana JamiiForums,
Mimi ni kiijana ambae nina tatizo la kutojiamini kutongoza wasichana hasa mida ya mchana lakini ikifika usiku naweza kutongoza vizuri tu japo bado nakuwa...
Maisha ya maigizo yapo sana mitaani. Kwa mfano unakuta mtu yupo radhi anunue simu ya milioni moja ili tu aonekane na yeye ni class la juu. Au anunue gari ili watu wamuone ana gari, cha ajabu...
Habari rafiki
najitahidi sana kuamini kuwa wanaume ni wazuri ila kila kukicha naona hawa viumbe ni wanyanyasaji, wabinafsi, hawana utu, wauwaji, wabakaji, wanyaganyi, wauwaji, roho mbaya...