Mume wangu kwa wiki mara moja tu, ndoa ina miezi miwili

sia1

Member
Mar 14, 2014
28
27
Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa.

Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukisex akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia, ni mpaka labda kesho tena au baada ya siku kadhaa.

Sasa mara nyingi sifiki kunako huwa ananiacha na nyege, nikiwa peke yangu najisugua na mto hadi nafika mwenye na nimeshazoea hivyo wakati mwingine siku hizi hata simsumbui nataka. Kwa sababu kipindi cha nyuma nilikuwa namsumbua anasema subiri mpaka asubuhi.

Mara subiri nilale kidogo full majanga, hivi nauliza huyu atakuwa anaupungufu wa nguvu za kiume au ni nini?

Zaidi ni mdogo tu kijana hata 30 hajafikisha.
 
Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla cjaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana...na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa. Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukisex akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia...ni mpka labda kesho tena au baada ya siku kadhaa..sasa mara nyingi cfiki kunako huwa ananiacha na nyege...nikiwa peke yng najisugua na mto hadi nafika mwenye na nimeshazoea hvy wakat mwingine siku hizi hata cmsumbua nataka...cose kipindi cha nyuma nilikuwa namsumbua anasema subiri mpka asubuhi...mara subiri nilale kdg...full majanga...hv nauliza huyu atakuwa anaupungufu wa nguvu za kiume au ni nini... zaidi ni mdg tu kijana hata 30 hajafikisha...

Huyo keshakua wako huyo.......bora ungekuja kabla ya ndoa. Sina cha kukuambia ila vumilia na endelea na mto wako mpaka mauti yawatenganishe.
 
Huyu ni wapili...mwanaume wangu wa kwanza acha kbs...mda wote yuko active...alikua ananifikisha hatareee...ila ndio hivyo tena tuliachana labda pia haikuwa ndoa imeandikwa mi na yeye...ndio nikampata huyo brazameni.... ni mzuri handsome wa haja...body body lakin hamna kitu...
 
Ni rais hutakuwa huna majonjo ya mahaba kama vile kumchezea mda mrefu bila kumpa au huna joto la kutosha au unajilegeza sana yaani hushughuliki. Lakini pia usikate Tamaa kabla ya kufanya akikisha anakula vyakula vinavyochochea kama vile chukua nyanyachungu na unga wa karanga unga na Nyama yenye mafuta kiasi wakati wa kula mayonaiza Iwe pembeni ukiwa bail utakosa uondo.
 
Huyu ni wapili...mwanaume wangu wa kwanza acha kbs...mda wote yuko active...alikua ananifikisha hatareee...ila ndio hivyo tena tuliachana labda pia haikuwa ndoa imeandikwa mi na yeye...ndio nikampata huyo brazameni.... ni mzuri handsome wa haja...body body lakin hamna kitu...
Tatizo mnapendaga sana wa kupigia picha...

Anyway, tendo la ndoa linafanywa kwa ushirikiano wa wanandoa wote wawili.. Kuna watu wanadhani mmoja ndo mhusika mkuu.. Hilo ni kosa
1. Umeshawahi kujihoji kuhusu namna unavyoshiriki jambo hilo..??
2. Umeshawahi kumtolea maneno ya kashfa wakati wa tendo..?? Kwa mfano ... hujui kitu wewee.. 
dada hebu kuwa na heshima na ndoa yako.hayo ni mambo ya ndani na kuyasema hapa sio kutatua tatizo.zaid tu unajishushia heshima.kaa na mumeo mjadili kisha nendeni kwa wataalam wanaoelewa mambo hayo..kama ni psychologicaly waone ma psychologist na kama ni biological basi waone madaktali watakusaidia.NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE..jifunze kutunza siri jamani..
 
kwanza unatakiwa kujua kuwa matatizo ya nguvu hayatokani na Umri,

anaweza akawa ana Matatizo kweli au akawa na michepuko mingi mfululizo nje hii pia huchangia

ila inategemea na kazi anayo / anazo fanya pia huchangia kwa asilimia kubwa saana

ila yote 9 inawezekana na wewe unachangia kwa asilimia kubwa zaidi!!

Naomba ni PM kwa msaada na ushauri zaidi nisifaidishe watu hapa
 
Vumilia tu
.cuz hata mie mke wng hawez sana..namie nshazoea kila siku mara 3 au naa
...so jitahidi tu...au nwanbie sjunyonye chini kwanza ndio afanye
 
Cjawahi hata cwezi kwanza... namheshimu sana mume wangu...na nampenda sana. Najitahid kushiriki vizuri...mara nyingi tukichat huwa namuuliza anataka nini...nimfanyie nini aridhike...anasema hapana anaridhika...najituma sana kwa kweli lakin wapi
 
Huyu ni wapili...mwanaume wangu wa kwanza acha kbs...mda wote yuko active...alikua ananifikisha hatareee...ila ndio hivyo tena tuliachana labda pia haikuwa ndoa imeandikwa mi na yeye...ndio nikampata huyo brazameni.... ni mzuri handsome wa haja...body body lakin hamna kitu...


hahaaa mabrazamen wa kupigia picha na kuwaonesha wenzio..... vumilia na ikibidi umtafutie tiba mbadala... hasa kula vyakula vya asili... mazoezi pia
 
ongea na mumeo kwa mahaba uenda ana tatizo la kiafya, na ni bora maana hakuna mwanaume hasiyependa kumfikisha mkewe
mdadisi kwa upendo bila kumbagua, na ikibidi muwaone wataalam wa maswala ya uzazi kwa ushaur zaid
 
Kuna watu hawachukulii sex kama burudani anafanya pale anapokuwa na hamu ya kitu hicho na akishusha wazungu basi hataki tena sasa hapo kuna tofauti kubwa dada unaonekana unapenda sex na kaka sex sio hobby pole.
Ni vyema ukaongea nae au uka mtengenezea vyakula au juice zinazo ongeza hamu ya kufanya mapenzi
 
Back
Top Bottom