Nikiwa na msichana namkinai, hivi nina pepo au ni tamaa tu?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,018
49,172
Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa.

Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita
nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo
kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua.

Wakati mwingine nikishawakinai nafuta nambazao utakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa.
 
kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa
mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita
nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo
kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua,wakati mwingine nikishawakinai nafuta namba zaoutakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini
sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza
wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa
mkuu... you need immediate medical and devine intervention....si buree
 
Ila hiyo hali ilikuwa nzuri maana huruhusu nafsi kupenda, ila ukimganda mtu siku mtaachana utaumia sana, nafikiri ni njia nzuri ya kuwa kwenye mahusiano kipindi haupo tayari kuwa kwenye serious relationship
ni nzuri lakini inaweza kujenga katabia kabaya ukajikuta unamkinai mke wako au mume wako wakati ndoa bado changa
 
Back
Top Bottom