Mi sijivunii jina coz sikushirikishwa tena wamenipa la kizungu wakati ya kibantu yapo!Ushauri kwa wazazi:usimpe mwanao jina muache akue ili aje achague jina alipendalo!Za ukosefu wa sukari wakuu!!
Binafsi napenda jina langu na najivunia kuwa nalo,vipi wengine kuna raha yoyote ya kujivunia jina?
Kama ipo kwanini watoto wanaendelea kupewa majina ya hovyo hovyo?
S.1998
hahahahhahahaMi sijivunii jina coz sikushirikishwa tena wamenipa la kizungu wakati ya kibantu yapo!Ushauri kwa wazazi:usimpe mwanao jina muache akue ili aje achague jina alipendalo!
upo vzr mdogo angu. Unajua kuchambua mamboJina ni jina tuu inategemea nawewe unavyolichukulia na kulitafsiri. Kuna majina ya kibantu watu huyachukulia in inferiority way wengine huona western names kma ndio mazuri yenye maaana...
Ubora Wa jina unaanzia kwa mwenye jina mwenyewe
Ila kuna majina kama matatizo, sikujua, siwema, mateso, shida, haya hapana kwa kweli. Jamii ifikie hatua tuachane na majina yenye negative reflections...
Imani tu hizo!Usithubutu kumpa mtoto jina la kurithi mf:la babu au bibi nk hii inaweza kumsumbua sana mtoto kutegemeana na tabia za mwenye jina.
InawezekanaImani tu hizo!
ndio inawezkana kwa imani!Inawezekana