azikala ngulukizi
Senior Member
- Mar 23, 2016
- 190
- 126
Habari wanajamvi hasa wanaume wenzangu,
Mimi nashindwa kuelewa hizi tabia za dada zetu siku hizi, unakuta wanapanga foleni kuoshwa miguu na kukata kucha. Hivi mwanamke kama huyu anaweza hata kufua nguo zake mwenyewe au kumfulia mumewe?
Jamani tunakoelekea siko, mbona haya mambo zamani mama zetu hawakufanya?Hebu wanawake jitazameni upya na nashangaa dume zima linamruhusu mkewe akaoshwe miguu na kucha, jamani hivi wanaume ameturoga nani au ndio uzungu?
Unakuta mwanamke makucha kama shetani hivi, mwanamke kama huyu anaweza hata kujitawaza vizuri au ndio mambo ya tishu.
Jamani hii hali sio nzuri, wanaume hebu tujitambue.