Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Maisha ya maigizo yapo sana mitaani. Kwa mfano unakuta mtu yupo radhi anunue simu ya milioni moja ili tu aonekane na yeye ni class la juu. Au anunue gari ili watu wamuone ana gari, cha ajabu unakuta gari yenyewe ya mkopo.
Tukubali maisha tuliyo nayo mana unapolazimisha mambo utajiumiza halafu mwisho wa siku unakosa vyote.
Kama una mpenzi hana pesa komaeni mtafute wote ili hivyo unavyotamani uwe navyo uvipate mana siku hizi hata kama kaolewa akihongwa kidogo tu anagawa penzi. Tumshukuru Mungu kwa maisha tuliyonayo, tusilazimishe.