wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,064
Leo kuna jamaaa alikuwa anamsumbua wife kiufupi hajui kujieleza manake yeye mara amwambie anataka amtoe out weekend hii, sasa tena anamtaka aende night club muda huu wa usiku so wife kaniambia jamaa nikampiga beat japokuwa yeye ni mtu mzima sana lakini ndo hivyo kanitishia.Halafu yupo kwenye ulevi, sasa unajua sie wengine ni hatari sana miimi nimeishi Sumbawanga, Kigoma na Bagamoyo so najua changamoto nyingi za maisha za watu wanaojitoa ufahamu wakung'ang'ania mapenzi.
Hapa jamaa akijiingiza kwenye mkenge wa vurugu na mimi nina solution mbili moja ni (1) Kumpeleka polisi (2) Akiwa kichwa ngumu ni kumloga asiinuke tena maishani.
MAISHA NI MAPAMBANO HAPA NDIO NAMTULIZA.
JE MAONI YENU YAP KUHUSU WATU KAMA HAWA WASUMBUFU TENA WANAKUTISHIA USHAUR WENU JAMANI