kaseva
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 473
- 305
Tuna mahusiano ya mwezi 1, nilikutana naye nilivyokwenda kumtembekea classmate wangu ofisini kwake, sasa juzi alhamis nikaanda kalaki, nikasema tutoke.
Tukakaa sehemu sehemu tukapiga vyetu. Nikashangaa 50000 imekata, baadaye chumba 25000, asubuhi nikampa 20000 nikabakiwa na elfu 5, nikaipigia supu asubuhi maisha yakaendelea.
Leo jumamosi siku moja baada ya kukutana anataka hela.
Ni msichana mrembo, ameajiriwa kwenye taasisi kubwa tu Arusha, kwa mujibu wa mate mshahara unaweza kuwa 600000/=. Kwa nilivyompanga kipato chake ni kikubwa kuliko changu.
Akasema ameumizwa mara nyingi sana hajui kwanini, na huyo wa mwisho hapokei simu so ameamua kuwa na mimi. Sasaa, hela mi sina tena, hata kama ninayo mi sii ATM, na kwanini tuombane hela bwana?
Amenikata stimu kama nini nilimweka kwenye hesabu lakini nimem
Delete.Atabakiwa na manyoya ya kuku, kwa wingi wa manyoya yatakuwa mengi kama ya kuku kumi.