miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,987
Habari wanaJamiiforums,
Kichwa cha habari cha jieleza.
Leo nataka kuwakumbusha ninyi wanaume wa dot.com na wazamani msiojitambua bado na kulalama lalama tu, unakuta mwanaume amekaa kabisa unapigia bajeti mfuko wa mpenzio au mkeo wewe huna akili? wanawake tunamajukumu yetu kubeba mimba na kulea familia.
We take a lot of risk during this time sema hamuelewi tu, alafu mwanaume unalalamika.
Kama ni kusaidiana mbebe mimba na ninyi, na mlee familia siye tukasake chapa.
Wanawake tumetoka kwenda kuanza kufanya kazi kwa sababu ya mambo matatu:
Mwanaume unashinda bar unalewa unajiloweka kwenye papuchi tu jumatatu mpaka jumatatu alafu unakaa unasema mwanamke asiyefanya kazi ni mzigo huna adabu wala heshina na HAUSTAHILI KUITWA MWANAUME kabisa.
Mwanaume mwingine lege lege tu ndiyo maana now days mnaliwa tigo tu na wanaojitambua acheni kulalama fanyeni kazi.
Huwa napata hasira sana kuona jianaume linalalamika kumuhudumia mkewe, ulitongoza ya nini?
Mwanaume anayejielewa he can stand by himself, lakini si unakikazi cha laki 3 kinyumba cha room tatu na bahati kigari ume relax unashinda bar halafu hapo hapo unategemea hela ya mwanamke.
Sikatai wanawake kufanya kazi, ila pia napinga upuuzi wa wanaume kukaa na kulalama kabisa wanapohudumia wake zao au wapenzi wao unatongoza ya nini kama wewe mwenyewe kujihudumia huwezi?
Unaongeza mtu mwingine tena kwa kumwomba na kumpigia misele halafu uje ulalame hapa babu ee ukitongoza jiandae kwa majukumu mengine.
Ninaaga wazazi ndugu nakuja kwako wakati mwingine natoroka alafu nakuja ili utumie pesa yangu mfyuuuu koma kabisa mwanaume amka mwanaume si kujua kitundu cha papuchi bali mwanaume ni MAJUKUMU.
Weekend njema ujumbe wa leo "TONGOZA UKIJUA KUNAKUHUDUMIA"

- Wanaume kutokujielewa na kusahahu majukumu yao.
- Upendo
- Hali ya uchumi.