The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,895
- 19,069
Salama wakuu.
Leo nimepigiwa simu na mwanaume mwenzangu akilia kuwa natembea na mke wake.Sio mara ya kwanza kupigiwa simu na wanaume wenzangu kuhusu mimi kutembea na wanawake zao ila huyu kaniacha hoi, anaongea huku analia kama mtoto akinibembeleza niachane na mke wake.
Huyo mwanamke mimi nimekua kwenye mahusiano ya yeye huu mwaka wa 3 na sijawahi kujua kama kaolewa, nikimhitaji hata aje akae wiki nzima anakuja kumbe alishaolewa toka mwaka jana.
Alikuja kwangu wiki mzima iliyoisha akaondoka Jumatano ya wiki hii akaniaga anaenda mkoa flani kuna ndugu zake, mara nyingi hua ananiaga anaenda huko kumbe ndio kwa mume wake.
Huwa nawambia wanaume wenzangu kuwa na mwanamke mmoja na ukampenda ni udhaifu mkubwa sana, mwanamke sio mtu wa kuamini zaidi ya ndugu zako wa damu wa kike kama mama na dada ila mpenzi/mke usimuamini kabisa.
Huyo mwanamke katoa mimba zangu nyingi kweli yawezekana nyingine ni za huyo jamaa, nimemueleza ukweli akabaki analia kama mtoto, tumeongea mengi nikamuahidi sitakua nae tena ila akaniacha hoi nilipomuiliza ana mpango gani sasa baada ya kujua uchafu wa mke wake akasema yeye anampenda sana hawezi kumuacha.
Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, usipende mwanamke zaidi ya mama yako, usiwe na mpenzi mmoja, mama yako tu ndio mmoja.
Sharing is caring. Endeleeni kupenda na kua na mpenzi mmoja mtalia sana tu kama watoto.