manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Kama ukifuatilia sana wenzetu wazungu waarabu wakorea, China nk huwa wanavutiwa sana na mwanamke mwembamba huwa hawavutiwi na matukunyema kabisa, hata kwa mwanamke wa mbele huwa hawapendi mwanaume mwenye kitambi au mnene ila kwa nchi zetu za kiafrika huwa wanaume wanapenda mabonge balaa.
Msichana ana makalio huwa akipata kila mwanaume anageuka, unakuta msichana ana kitambi hujui ka cha bia au cha chakula, pia wasichana wa kiafrika wanapenda sana mwanaume mwenye mwili kitambi wakijua ndiyo mwenye hela,je mwanamke mnene na mwembamba yupi anaevutia zaidi na yupi anaeweza gem sana na ukiwa nae una enjoy?