Nitajuaje kanipenda kiukweli?

mmhhh hao watu kuwajua inabidi uwe na moyo mgumu kaa mwendawazimu wewe ridhika tuu na uliyenae
 
Mkuu hatujazaliw na baba/mama m1 hatufanan we endelea kuumiz kichwa juu yetu wakat wanaokupenda unawapuuzia nakwenda kuumiza kichwa kwa mtu ambae nae aNae mtu anaemuwazia na kumuumiz kichwa.
 
Back
Top Bottom