Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,924
- 3,904
Leo ni siku ya wababa duniani. Baba ni nguzo muhimu sana kwenye familia naamini mlio wengi mmefanikiwa kwa baba zenu kuwa bega kwa bega na nyie. Pale ulipokosea baba alikuchapa ili akili ikae vizuri na kukusaidia pale ulipokwama ili malengo yako yatimie. Namshukuru sana baba yangu kwa support yake aliyonipa mpaka kifika hapa nilipo. Tuwaombee wababa wote wazidi kuwa vichwa katika familia zao ili ziweze kusonga mbele.
Unampa neno gani baba yako katika siku hii muhimu kwake.
HAPPY FATHERS DAY
Unampa neno gani baba yako katika siku hii muhimu kwake.
HAPPY FATHERS DAY