Wanaume wa Dar es salaam na woga wa baridi

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,805
Reaction score
49,109
Habari zenu wana JF,

Hali ya hewa leo duh! na waume zetu wa Dar es salaaam waoga baridi kama nini? utasikia leo "baby njoo basi unaona hali ya hewa" ukikataa leo na weekend hii kibuti kinakuhusu.

Nawaza wangekuwa maeneo ya baridi kama Njombe, Kilimanjaro, Iinga, Mbeya either wangezaliana sana au wangeongoza kwa uharibifu wa mazingira (condom) Basi nikahisi wakati wa joto nadhani hawatumii feni au AC! !! curios

Weekend njema marafiki zangu
 
Wakati wa baridi viungo vya uzazi ndio vinadaka mawimbi kisawa sawa na kusearch device........

ha ha aha sasa wale wa mikoa kama njombe unataka kuniambia vinakuwa juu juu kusearch mda wote ? na je havichoki?
 
Wanaume wa dar wamegeuzwa pity hole! Barid, panya road, mageuzi ya kisiasa, maisha....

BTW kwa hali ya hewa ya Dar ilivyozoeleka joto lake hata hiyo shughuli haifanyiki kwa burudani...joto, mijasho etc so ikitokea 'neema' ya weather kama ya leo lazima watu wanahamasika sana!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Huko ndio kwenyewe......sio mpaka uulize ukifika tu......utaona vitoto vilivyopangana kama ngazi......ujue kuwa hapo Bluetooth zipo on.............
 
eeeh kumbe hadi huko basi nikajua wanaume wa dar wanatabia chafu
 
Wanaume wa dar wamegeuzwa pity hole! Barid, panya road, mageuzi ya kisiasa, maisha....

BTW kwa hali ya hewa ya Dar ilivyozoeleka joto lake hata hiyo shughuli haifanyiki kwa burudani...joto, mijasho etc so ikitokea 'neema' ya weather kama ya leo lazima watu wanahamasika sana!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

curiosity!!!!!!!! nikata kujua kulikoni leo kila mtu hali ya hewa?
 
Hahaha ....leo umepokea sms ngapi za kuulizwa uko wapi? Na za kuambiwa umemissiwa, au mtu anataka muonane? ....am curious too!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Habari zenu wana JF,

Hali ya hewa leo duh! na waume zetu wa Dar es salaaam waoga baridi kama nini? utasikia leo "baby njoo basi unaona hali ya hewa" ukikataa leo na weekend hii kibuti kinakuhusu.

Nawaza wangekuwa maeneo ya baridi kama Njombe, Kilimanjaro, Iinga, Mbeya either wangezaliana sana au wangeongoza kwa uharibifu wa mazingira (condom) Basi nikahisi wakati wa joto nadhani hawatumii feni au AC! !! curios

Weekend njema marafiki zangu
miss chagga, hivi ni kweli kuwa na wewe una sura ya simba dume yaani juu kifuani mpanaa lakini kwenye masaburi kwembamba kama wale wenzetu wa kishumundu? au wewe umepona ulemavu huo? pili, ni kweli kwamba watu wa huko kwenu hawajui mapenzi?
 
Back
Top Bottom