Mm ni kijana miaka 28 makamo niliyonayo yanatosha kuanzisha familia ivyo natafuta mchumba awe na makamo yanayoanzia miaka 24 -32 vigezo...
•Awe ana elimu kuanzia form 4
•Awe anafanya kazi yoyote...
Habari ya mchana wapendwa, nimeikuta sehemu hiii
......................................
By nature nadhani mwanamke ameumbiwa kujua "assurance" hata kama hatakuwa na matumizi nayo lakini kuwa...
Mimi ni kijana wa miaka 24, mfupi lakini handsome boy, girl yeyote lazma nimvutie. Nipo dar, kazi yangu ni machinga, elimu yangu fom 6. Natafuta mpenzi, uwezo wa kumgaramia elfu 20 kila wiki...
1. KUPUUZA SAIKOLOJIA YA MWANAMKE
Kitu muhimu sana anachotakiwa kukifahamu mwanaume katika uhusiano ni suala la saikolojia ya mwanamke na kujua kuchagua muda muafaka wa tendo. Mwanamke hufurahi...
Naongea na nyie wanaume wenzangu ambao mnajifanya mnajua kupenda kila kitu ''ngoja nikamuulize waifu'' hata kumtumia mamako chochote unaenda kuuliza waifu uzezeta huo, halafu mbona siku hizi...
Habari zenu wanaJF,
Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake,
Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote...
Leo sina amani kabisa, nimempiga mdogo wangu kipigo cha mbwa mwizi.
Ni hivi, mimi nipo mkoa wa mbali kikazi. Nimekuja likizo home. Niliyokutana nayo ni bora nisingekuja hata likizo.
Nimekuta...
Kama huamini basi kaa kimya,ila huu ni ukweli ulio wazi kabisa.
Unakuta msichana alikuwa ni rafiki yako mkubwa ambaye mnaishi kama kaka na dada na mnasaidiana kwenye shida na raha.Ila akishaolewa...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume, kuna tatizo huwa silielewi. Kila nikiwa kwenye matembezi yangu nikikutana na mdada au wanadada wamevaa vizuri wakapendeza nashindwa kuwasalimia au...
Ndugu habarini
Naomba mniambie hivi mtu akiamua kukuacha kisa hamshabiiani utafanya nini? Utalia Au utamshukuru Mungu na kumuomba akusaidie uondokane na udhaifu wako akupe mtu sahihi...
Habari yenu Wakuu,
Hivi inakuaje baadhi yawanawake/wasichana wa siku hizi walio wengi hawaridhiki na kile walicho nacho? Yaani wa kuwa macho mia mia?
Nini kina wafanya waone mwanamume mwingine...
Habari zenu JF
Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana. Na yeye ndo alionesha kunipenda zaidi.. Alikuwa mckivu sana na mvumilivu pia..Ilifikia wakati hawezi hata kumckiliza hata mama yake ikiwa...
Za ukosefu wa sukari wakuu!!
Binafsi napenda jina langu na najivunia kuwa nalo,vipi wengine kuna raha yoyote ya kujivunia jina?
Kama ipo kwanini watoto wanaendelea kupewa majina ya hovyo hovyo...
Ilikua ni sauti ya rafiki yangu iliyonistua sana baada ya kuambiwa maneno ya kukatisha uhusiano wake na mpenzi wake ambaye walitegemea kuoana mwakani.Kila mwanaume amekuwa akimtenda vibaya na...
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe sababu kila...
It may be true that the law cannot make a man love me, but it can stop him from lynching me, and I think that's pretty important. - Martin Luther King Jr.
Habarini za muda huu,kwa waliofunga pole kwa waliofunga kwa saumu.
Nije kwenye mada,najiuliza sana kwanini wanandoa hawana mahusiano ya family groups za wenza wao?
Mfano: Mwanamke akiolewa moja...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!
Times are changing and changes are inevitable inevitable. When the benefit of change exceeds the cost of change, then changes ceases to be optional and...