Natafuta mchumba (mwanamke)

WAKUONDOKA

Member
Oct 8, 2014
46
24
Mm ni kijana miaka 28 makamo niliyonayo yanatosha kuanzisha familia ivyo natafuta mchumba awe na makamo yanayoanzia miaka 24 -32 vigezo...
•Awe ana elimu kuanzia form 4
•Awe anafanya kazi yoyote inayomuingizia kipato
•Awe mrefu kimo 5.7 inch
•Awe mcha mungu dini yoyote
•Awe na rangi yoyote
Nitaacha contact yangu apa akiwa tayari anitafute muda wowote kuanzia sasa.

0625809895
 
Subiri waje mkuu, wako wengi
 
WAKUONDOKA , warembo humu wanaogopa jina lako. Wanahisi utakuwa unatelekeza familia kwa kisingizio cha 'kwenda kutafuta maisha'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom