Natafuta girlfriend

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
877
Mimi ni kijana wa miaka 24, mfupi lakini handsome boy, girl yeyote lazma nimvutie. Nipo dar, kazi yangu ni machinga, elimu yangu fom 6. Natafuta mpenzi, uwezo wa kumgaramia elfu 20 kila wiki.
Sifa
Asiwe bonge
Urefu wa kawaida
Asizidi miaka 24
Ajikubali kwa uzuri
N.b
Ntamjali, ntamsamini na kumpenda mpaka achoke yeye. Nipo serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom