MREJESHO: Mwenza amepatikana

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari zenu wanaJF,

Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake,
Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote.

Mungu awabariki wote kwa michango yenu ya hali na mali kuhakikisha jf inakua na kupanuka siku hadi siku,Mungu awabariki sana. Kimsingi Jamii Forum itabaki kuwa sehemu ya historia katika maisha yangu kwa kunikutanisha na hatimaye kukipata kile nilichokuwa nikikiota katika maisha yangu yote,Jf imenipa zaidi ya nilichokiomba.

Baada ya Andiko langu lililopita,licha ya changamoto za hapa na pale toka kwa baadhi ya watu humu ndani hatimaye nimefanikiwa kumpata mwenza wangu.
Kwa ujumla tupo kwenye hatua nzuri kuelekea kuwa mume na mke. Huyu ni mwanamke wa ndoto zangu haswa,na ana kila sababu ya kuolewa na mimi na kuwa mke kamili.

Mwisho;
nawashukuru wote waliyoonesha nia kwa kuja pm ila ieleweke nafasi iliyotakiwa ni moja tu na huenda hamkufikia vigezo stahiki,Mungu atawapa wepesi katika machaguo mengine sahihi zaidi.

Aksanteni.
 
Habari zenu wanajf,
Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake,
Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote.
Mungu awabariki wote kwa michango yenu ya hali na mali kuhakikisha jf inakua na kupanuka siku hadi siku,Mungu awabariki sana.
Kimsingi Jamii Forum itabaki kuwa sehemu ya historia katika maisha yangu kwa kunikutanisha na hatimaye kukipata kile nilichokuwa nikikiota katika maisha yangu yote,Jf imenipa zaidi ya nilichokiomba.
Baada ya Andiko langu lililopita,licha ya changamoto za hapa na pale toka kwa baadhi ya watu humu ndani hatimaye nimefanikiwa kumpata mwenza wangu.
Kwa ujumla tupo kwenye hatua nzuri kuelekea kuwa mume na mke.
Huyu ni mwanamke wa ndoto zangu haswa,na ana kila sababu ya kuolewa na mimi na kuwa mke kamili.
Mwisho;
nawashukuru wote waliyoonesha nia kwa kuja pm ila ieleweke nafasi iliyotakiwa ni moja tu na huenda hamkufikia vigezo stahiki,Mungu atawapa wepesi katika machaguo mengine sahihi zaidi.
Aksanteni.
Asante na we pia
 
hongera mkuu wengine tunatafta na hatujapata mukija kutoa ushuhuda hivi munatutia moyo.mungu awape kila la kher kwenye ndoa yenu
 
hongera mkuu wengine tunatafta na hatujapata mukija kutoa ushuhuda hivi munatutia moyo.mungu awape kila la kher kwenye ndoa yenu
Aksante sana mkuu,usichoke kutafuta Mungu atabariki na utafanikiwa.
 
hoNgera mkuu!!!!!!!! ila usije tupa dodoSo zoote had kyumban kwenu km MONICCA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom