figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,479
Habari yenu wakuu,
Huu ujumbe sikulengi wewe bali lafiki yako wa kike mwenye hizi tabia, umfikishie umwambie kama ni kweli ajirekebishe.
Leo nmeamua Kuwafungukia hawa dada zetu japo kidogo tu. Kwa taarifa yenu Wanaume hatudanganyiki hata dakika moja. Yaani ni kwamba tunawapa kichwa mnakula na masikio.
Unakuta Mwanaumke anamdanganya mpenzi wake sijui nini na nini, lakini kwa kuwa wanaume tumeumbwa na roho ya huruma na kwakuwa tunajua ninyi ni wadhaifu sana, tunaamua kukubali uongo wenu ili msijisikie vibaya. Saa nyingine tunakubali Uongo wenu yaani tunakubali mtudanganye ili kujua nini lemgo la Uongo na nini sababu.
Saa nyingine tunakubali kudanganywa ili tupate sababu ya Kuwazingu. Siku ukija na ukali unapepeta mdomo tunakuuliza, Unakumbuka siku ile ulifanya hivi? Basi unakuwa mpole.
Hii tabia ya wanaume kujifanya haelewi naipenda sana, na hii imesababisha wanawake wengi kuishiwa kuchezewa sababu ya kujifanya wajuaji, wao ndo wanajua matanuzi, Wao ndo wanajua matumizi, wao ndo wanajua uongo na jinsi ya kupiga Mizinga.
Unakuta anamtishia nyau mwanaume Eti "mimi ntaolewa na Tajiri". Nchi yenyewe Maskini utapata wapi Tajiri wa kuwaoa nyote? Ukienda huko unachezewa na Uzuri wako wote matajiri wenye hela wanaanza kubadilishana huo mwili wako. unajikuta leo upo huku kesho kule, ukishatemwa unarudi kwa yule uliyeona hafai na hapo ni baada ya kuona mwili umeanza kuchoka umeshachezewa kiasi kwamba wangekuwa wanaacha tobo basi ungekuwa chandarua, ndo unarudi eti tusameheane. Thubutu..!!.
Hata hao Matajiri wa kiume wanajua nini umefuata kwao so kuwa makini. Jifunze kwa waliokutangulia.
Mengine yote naweza vumilia, Lakini hili la Uongo siwezi Vumilia. Hivi unawezaje kwenda kwa mpenzi wako kisha ukajifanya upo siku mbaya halafu ukataka akusamehe? Hivi mnajua magumu tunayopitia wanaume hasa muda ule tunapokuwa tumekaa sehemu ya faragha na wale tuwapendao? Acheni Uongo, na kama ulikua Muongo acha Mungu amekusamehe.
Mia