mugumu11
Senior Member
- Jun 22, 2016
- 113
- 56
Najua ulijaribu kujifunza lugha mbali mbali lakini hauwezi kulinganisha na lugha ya wanawake hata siku moja , utakubaliana na mimi kwamba maneno mengi watakayo kuambia wanawake katika lugha yao ni kinyume kabisa...
Hapa kuna mambo 15 ambayo wanawake wanadai kwamba wanaume huwa hawaelewagi au wanaelewa tofauti kabisaa.
1. HAMNA KITU..
Hapa anamaanisha kuna kitu fulani ambacho ni tatizo na ni muhimu kulifanyia ufumbuzi mapema na haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajaharibika
2 HAPANA....
Anamaanisha hapana
3 NDIO...
Hii mara nyingi wanamaanisha hapana.
4 LABDA...
Hii maana yake hapana, haiwezekani.
5. HAYA SAWA...
Hii maana yake sio sawa hata siku moja , yaani maana yake anahitaji muda zaidi kupanga adhabu yako.
6. KAZI KWAKO......
Yani kama uanadhani hapo uatakuwa umepewa uhuru wa kuamua basi utakuwa umepotea kinoma , hapo anamaanisha kazi kwako kuchagua kile anachokipenda
7. KICHEKO.....
Najua unaweza usifikirie hili, lakini hili pia ni neno na linaweza kutafsiriwa kama''Siamini yani nikae hapa nikiangalia upumbavu wako??''
8 DAKIKA 5....
Hii hutegemeana na mazingira, kama anajiandaa na kujiremba remba jua hapo maana yake ni kama dakika 30 hadi 40
9. AHSANTE SANA.....
Hii maana yake ni kinyume cha asante
10. TUNAWEZA KWENDA SEHEMU YOYOTE UIPENDAYO..
Hii maana yake uchague sehemu anayoipenda ndio muende.
11. UNAFANYA NINI?.....
Hili sio swali kama unavyodhani bali ni kauli inayomaanisha hivyo unavyofanya sio sahihi
12. KUWA MUELEWA.....
Yaani hapa namaanisha ukubaliane naye
13. SIJACHUKIA...
Maana yake amechukia
14. TUNAHITAJI...
Anamaanisha anataka
15. SIHITAJI KUZUNGUMZIA HILO JAMBO..
Anataka uondoke kwasababu anatafuta ushahidi juu yako