Inasemekana kuwa baadhi ya wanawake wembamba huwa hawapi hedhi

Inasemekana kuwa baadhi ya wanawake wembamba huwa hawapi hedhi

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Binafsi hupenda kusoma makala na vijarida mbalimbali kuhusu maisha, katika pitapita zangu nikakutana na makala moja ikieleza kuwa baadhi ya wanawake wembamba huwa hawapi hedhi.Naomba kujua na ushuhuda wa hilo kutoka kwenu wadau.
 
shmd65

Mkuu namaanisha "hawapati" basi ngoja niedit
 
Last edited by a moderator:
Pritty wa joseph

Mkuu pritty wa joseph naomba sababu za kibiolojia zinazokupa ujasiri wa kupinga hilo kama unazo
 
Last edited by a moderator:
patriotic crusader

Ingekua vyema ungetuletea makala hiyo(hizo) ulizo soma kisha tukupe mwongozo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijawai sikia iyo, ila kuna manzi namfahamu ni mwembamba, hajapata hiyo kitu since november na hana mimba.
 
Kama hapati hedhi hata mayai hazalishi,kama mayai hazalishi huyo si mwanamke ila kinyume chake kama mayai hayazaliwi basi hata ovulation hana.
Mwisho wa siku hawezi kuzaa huyo. Nitaamini nikipata hiyo makala na utafiti wake.
 
Hunyu

Nilikua nasubiri atueleze katika hiyo makala yake kwamba hormone production ya hawa ndugu zetu wenye miili midogo ipo tofauti na kama ndivyo je wana circle tofauti na wanawake wengine?

Kila mtu anauwezo tofauti wa kuzalisha hormones na kila mtu ana circle yake ila kuna zile expected intervals sasa sijui kama hawa wenzetu wembamba wapo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Haya mapya tena! kama hapati hedhi na kuzaa hawezi pia,inawezekana ikapita miezi hadi mitatu ila ikizidi hapo ni tatizo.
 
Hedhi ya nn kama ni demu wangu ndo naenjoy zaid coz kila cku show hakuna mapumziko
 
Back
Top Bottom