Kwanini 99%ya wanawake ni Wabahili?

Think Hard

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
318
303
Nianze kwa kuwapa pole na mihangaiko ya siku nzima..
Wana JF kuna jambo hua nakosaga jibu kabisa pengine mtaweza kunisaidia..
Kwanini unakuta mwanamke anafanya kazi yake nzuri tu na ana kipato kizuri lakini utashangaa anataka mwanaume ndio amnunulie kila kitu...pesa zao hivi wanafaniaga nini?.
 
Natamani sana nipate lakin Bado sijapata bahati hiyo

Usijali utapata ndugu, muhimu fikiria yapi nawe unafanya baadae unajutia kiaina. Jibadili na kuwa wewe zaidi na punguza kuongea sana weka mawaba mbele haswaaa na kujali... Usiwe muongo, kuwa mkweli acha mwemza aamue onyesha una nia na unathamini uwepo wenu pamoja. Usifeki huko unaharibu kama haumpendi na huwezi kuvumilia kulala nae kiranda kimoja mmekumbatiana kwa saa hata moja basi ondoka kaombe upate mwingine.
 
mwanawane hela ya mwanamke ni ya kwake na hela ya mwanaume ni ka mwanamke kutumia...sasa wewe kaa ukijidanganya oh wanawake wabahiri itakula kwako....wewe muhudumie usitegemee pesa yake ila akizingua tuu kwenye suala la papuchi hapo sasa piga chini maana wewe umetimiza wajiu wako kama mwanaume yeye kama mwanamke wajibu wake hapa duniani ni kugawa papuchi igegedwe.
 
Back
Top Bottom