Ushauri: Nimetuma picha ya utupu kwenye group la ofisi

nmejaribu ila nmpgia rafiki yangu kasema bado ipo na kaweza kudownload
 
Anyway mtu yeyote anaweza fanya hivyo kwa bahati mbaya. Hakuna namna omba msamaha kwa group. After muda flani jitoe kwa kundi. Itasahaulika tu.
 
Cyber crime art


Wala, hii ni kawaida sana mkuu labda waamue kumchomea but suala kama hili ni la kawaida labda kama hiyo video inaonyesha SURA yake au mpenzi wake huenda ikapelekea ku-leak kama atatokea muhuni wa kuisambaza
 
Back
Top Bottom