yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,634
- 3,658
Ni jioni ya leo madam mrembo wangu kipenzi kanipigia simu anasema mpenzi nimeshinda njaa leo na hadi sasa sina hela ya kula kwahiyo nalala njaa tena, naomba hela ya kula.
Mwanaume nlikuwa na buku mbili tu mfukoni, nikamwambia baby sina kitu vumilia tu nkipata ntakutumia kama navyokutumiaga. Akasema haya poa ngoja nilale njaa.
Mara ikaingia text eti simu yangu inazima chaji mpenzi (kwao hakuna umeme). Kuisoma ile nikachanganyikiwa, nikahisi ndo sijui kaenda kutafuta pesa kwa njia zipi... hadi dakika hii napiga simu mrembo hapatikani... moyo unataka kupasuka, usingizi hauji