Namshukuru Mungu kutimiza miaka 26 ya ndoa

Ngoja nimjibie: siri kubwa ya mafanikio katika ndoa ni masikilizano, kusamehena, kufarijiana, kuwa pamoja katika shida na raha, pia kila mmoja kuwa tayari ku drop na kugain kutoka kwa mwenzie

Pamoja na kuchanganya democrasia na udictator kulingana na mazingira. Upendo ndio nguzo kuu.
 
Congratulation Father for your long life Marriage. Other Marriage last for months only and even weeks and Divorced!! Happy bday to your Marriage and your family members
 
Hongera sana....Alioa enzi hizo kabla Ndoa hazijawa Ndoano na kabla Ndoa hazijachakachuliwa kama hizi za sasa za kichina..Miezi 2 tu watu wameshachokana kabisa na kama wanaishi pamoja ni kutimiza ahadi tu ila maelewano hakuna tena huko ndani..kila mmoja anabaki na ningejua..ningejua..
 
Mnashikana mikono mbele za watu miaka 50 , ya ndoa , mkirudi ndani mnalia , ndoa haina amani .... BY JAYDEE
 
Hongereni sana. Miaka 26 ndani ya ndoa, hakika mmepanda milima na kushuka, mmecheka na kulia pamoja....Mungu azidi kuwa nanyi. BTW, kama ulioa na 20 utakuwa na 46 sasa.
 
mkuu ntafrahi uniambie mikasa ulokutana nayo katik a mapenz kwa muda wote huu napenda unipe siri ta mafanikio yako. wanawake kwangu hazipand kabis yan siwatak kabisa.
 
Back
Top Bottom